Blogger Widgets Blogger Widgets

Wednesday, January 20, 2016

KUTOKA FAMILIA YA WEUSI NI G-NAKO KATIKA VIDEO MPYA YA "OG ORIGAL"

CHRIS BROWN KAMRUDISHA MKONGWE KEITH SWEAT KATIKA REMIX YA "WHO'S GONNA (NOBODY)"Hitmaker wa album ya "Royalty" ambaye ametoa nyimbo yake moja katika album hiyo na kutaka kuifanyia remix, nyimbo hiyo iliyopo kwenye Album ya Royalty inaitwa "who's gonna".

Tulishuhudia kwa mara ya kwanza katika Tamasha ambalo lilifanyika Atlanta, ambalo chriss brown na Trey song walilipa jina la "Between the street"Tour mkongwe Keith Sweat alipanda jukwaani na kufanya show ya nguvu na vijana hawa (chris brown & Trey Song).
Chris brown ameona hiyo pekee yake haitoshi hivyo ameingia Studio na Keith Sweat na kutengeneza bonge la Hitz ambapo Breezy kachanganya nyimbo mbili kuwa nyimbo moja, nyimbo hizo ni "who's gonna"(Breezy) na "Nobody"(Keith Sweat)

Wimbo wa keith Sweat "Nobody" ni wimbo ambao ulitoka mwaka 1996 na nafikiri ni kati ya nyimbo zilizopendwa na mashabiki wake duniani enzi hizo za 90's.

Tuesday, January 19, 2016

KUTOKA CENTAL ZONE:MONI FEAT. THA RIFT - KIRIKUU REMIX

VIDEO:MEEK MILL - THE TRILLEST


Meek Mill ambaye amezungukwa na mabeef na marapa wakubwa duniani,lakini hilo limeonyesha haliwezi kumzuia Meek Mill katika harakati zake za kutengeneza Mkwanja (Pesa).
Katika video hapo juu inamwonyesha Meek Mill akiwa na Mpenzi wake "Nick Minaj" walipokuwa wanashuti video yake mpya ya "The Trillest" enjoy!!!