Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, March 31, 2013

Victoria Kimani-MTOTO VIDEO

club bang hii inawahusu pia wale vijana wa zamani hebu tizama video hii afu sikiliza na hiyo beat nazani utakuwa umerudisha mbali mawazo yako may be enzi hizo ulikuwa unaruka minyaa kwenda kuruka midude tulikuwa tunaita tunaenda madebeni vijana wa sasa sijui wanatumia lugha gani kwa sasa,..Bi dada kaitendea haki hii beat pamoja na video je wewe unasemaje kwa hili?

No comments: