Blogger Widgets Blogger Widgets

Monday, April 15, 2013

AINEA FT SHETA - SOMEBODY OFFICIAL VIDEO

Baada ya kina Bushoke , voice wonder kutikisa East africa kwa vocal zao za kipekee sasa DODOMA inajivunia tena kusimama kwa Mr.somebody a.k.a Ainea anawakilisha vyema kanda ya kati na hii ndio video ya wimbo wake wa somebody aliomshirikisha sheta a.k.a bonge la bwana

No comments: