Inaonesha ile bifu ya wakali wawili wa miondoko miwili tofauti kati ya drake anayefanya Hip hop pamoja na Chriss breez anayepiga RnB na Pop music bado inafukuta chini kwa chini hii imekuja juzihilika baada ya rapper Drake kufunguka kuwa Chris Brown hajiamini na ndio mana yeye drake anafanya music mzuri kushinda CB na anahit za kutosha so Chris ajipange kufikia level zake
"His insecurities are the fact that I make better music than him, that I'm more popping than him and that at one point in life the woman that he loves fell into my lap."aliongea haya alipokuwa akihojia na kituo kimoja cha radio online
lakini drake alisema hafikiri kuhusu Breezy anymore kwan sasa yupo katika maandalizi ya album yake ya "Nothing Was the Same."
Its real nothing was the same mzazi? au mtoto rihanna anawachanganya!!!!!!!?
No comments:
Post a Comment