Wanasema kama ringtone basi kwangu imekuwa tofauti kwani usiku na mchana lazima nilipige hili dude la msafiri kondo mimi hupenda kumwita msafiri kafiri mana harakati zake toka way back mpaka sasa bado anakarisha Bongo industry kwa panch after panch..jamaa simsifii ila anajua ukibisha kwa sababu umezaliwa mbishi
No comments:
Post a Comment