jordin sparks ambaye alitambulika hapa bongoland kupitia collaboration song na chris brown “No Air” na kurudisha ndoa nyingi za watu ambao walikua wameshayakacha mapenzi
Mwanamuziki huyu pia ni mke mtarajiwa wa jason derulo amezindua bidhaa hii ya perfume kwa kuipa jina la “Ambition” nazani wale wanaokwenda na wakati wataanza kuiagiza soon mana uzinduzi rasmi unatarajiwa kufanyika katikati ya mwezi huu wa kumi na moja.
No comments:
Post a Comment