Blogger Widgets Blogger Widgets

Saturday, December 1, 2012

lady gaga safari style

xlady-gaga-on-safari.jpg.pagespeed.ic.bQiUoVQWXM

mwanamuziki mwenye vituko vingi duniani kutokana na stlye zake za ajabu ajabu za mavazi namzungumzia lady gaga hivi karibuni alitembelea south africa na kupata wasaa wa kutembelea mbuga za wanyama zilizopo nchini south africa kituko alichofanya ni kukata kofia kwa juu na kuzifuta nywele zake kutokeza nje kama unavyoona kwenye picha hapo juu,

swali la kujiuliza je ungemkuta njiani anatembelea ungejua kua ni yeye? hebu tizama hiyo picture

“yes I cut a hole in my bush hat so my pony could stick out #SafariBarbie #Glambi," alisema star huyo kupitia ukurasa wake wa twitter

umbeya ukizidi mwishoni utaitwa mshakupenku!!!!

No comments: