Wiki moja baada ya mwimbaji Rihanna kupost kwenye page yake ya mtandao wa Instagram picha ya Chris Brown akiwa kitandani bila shati
Safari hii mwanadada huyo kapost picha hiyo hapo juu kwa maana hiyo inaonyesha wazi wazi kwamba old is gold hakuna ubishi kuwa wawili hao wapo katika uhusiano tena
nisiwe mbeya sana lets keep waiting!!!!!!
No comments:
Post a Comment