
Katika album yake mpya aliyoipa jina la " Indicud" x member wa G.o.o.d music kid cud anatoa track aliyomshilikisha michael bolton nyimbo hiyo yenye dakika takiribani tisa na masekunde yake kadhaa itasikika sauti ya mkongwe huyo bolton akilalamika "bring your friends," on the hook? You can't help but wonder how on earth that one came to fruition, but obviously it involves being a fan in the first place.
nyimbo hiyo imepewa jina la "grew up" na itakuwa hewani hivi karibuni so stay tunes kwenye blog yako ya kijanja kwani nitakudondoshea video yake
No comments:
Post a Comment