
Inakadiliwa kuwa na utajiri unaofikia dola billioni 13.3 (kadilia kibongo bongo sh.ngapi? nipe jibu hapo chini kwenye comment box) lakini jamaa anaishi zake maisha ya kawaida tu kama hapa unavyomwona mark Zuckerberg na mke wake Priscilla Chan ambaye ni doctor wakiwa kwenye moja ya mitoko yao na friend zako wakitupia kitu cha baga


hata sendo wanavaa za kawaida zile unazozikutaga kariakoo pamoja na kukabiliwa na scandal kuwa aliiba aidia ya facebook lakini mark ameonyesha hana time na madai hayo na badala yake anafanya yake
No comments:
Post a Comment