
hili ni gari analotembelea jaguar kwa sasa

Hii ndiyo ndege yenyewe ambayo rapper huyo inasemekana kainunua hivi karibuni

katika hili jaguar hakutaka kuwashirikisha waandishi wa habari na kulikuwa na ulinzi mkali kuzuia mapaparazi tusifanya kazi yetu , ikumbukwe kuwa jaguar alikuwa bega kwa bega kwenye kampeni ya Uhuru kenyatta ambaye sasa ndiye pRezidaa wA KenYa
No comments:
Post a Comment