Label maarufu nchini Kenya inayofanya vizuri sana Afrika mashariki Ogopa Deejays imekumbwa na balaa baada ya Msanii Jaguar kuondoka katika Label hiyo.
Miezi michache iliyopita Producer anayejulikana kama Philo ambae nae aliondoka kuenda kuanza kufanya kazi zake mwenyewe lakin jaguar hivi juzi alisema wako pamoja na producer huyo wanafanya kazi ambapo kuna ngoma tayari wanarecord na producer philo.
“It is true that Philo is the one who was working out my songs and that is why I am still working with him,” Alisema jaquar
Ogopa Deejays kwa sasa imebaki na wasanii Bebe Cool, Chameleone, Redsan, Nameless, Wahu, Amani, Avril, Moustapha, Kenzo, Trapee na Marya.
No comments:
Post a Comment