Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, April 21, 2013

POLISI WAZUIA PARTY YA SNOOP KUFANYIKA

Snoop lion katika weekend hii namaanisha jumamosi iliyopita ya juzi alitaka kufanya bonge la party akiwa na washikaji zake katika himaya la hollywood hill lakini gafla polisi walikuja na kusimamisha party hiyo baada ya polisi hao kupata malalamiko kutoka kwa majirani kuwa alikuwa anawapigia kelele kutokana na sound za muziki pamoja na fujo za magari za watu wake na snoop aliokuwa amewaalika, katika party hiyo kulitakiwa kuwe na performance za wasanii mbalimbali lakini kutokana na mamlaka hiyo ya polisi party ikaingia giza la umeme wa tanesco!!!!!.

No comments: