Blogger Widgets Blogger Widgets

Monday, April 1, 2013

Tyga Tag-Teams Verses With Tupac On 'Hit 'Em Up'

hii ni video aliyokuwa akihojiwa tyga kuhusu kutumia verse za mzee mzima Tupac kwenye nyimbo yake mpya verse hiyo pia imesikika vocal za tupac. nyimbo hiyo mara ya kwanza tyga alipanga kumshirikisha nick minaji lakini akaghairi na kumpa jadakiss "I sent it to Jadakiss, and after that I was done with the song, and then I had came across some 'Pac vocals from a friend," Tyga told us from the set of his "Molly" video in Los Angeles last month. "I was like, 'Man, this would be dope,' but I didn't really know how to use it properly." tyga said.

Get More: Tyga, Music News

No comments: