



Hivi ndivyo Mr.Valuvalu alivyoingia kwa style yake


Hapa akiwatizama mashabiki baada ya kupanda kwenye steji


Hili ndio jukwaa lililotumika kwenye concert hiyo ya jose chameleone

"aaaah bhana mi mamizuka yamenipanda" Mzee huyu camera zetu zilimdaka akiwa anacheza masong ya jose chameleone baada ya uvumilivu kumshinda kwenye kiti

"Na sasa namleta kwenu Ze Heavy Weight" Chameleone said hapa


Prof.jize a.k.a joseph haule akifanya mambo kwenye steji

Redsan akikamua kumpa support chameleone kwenye tamasha hilo la badilika


Huyu ni dogo aliyewavutia watu kutokana na kutekenya nyuzi za gitaa kwa umakini na hakosei alipiga baadhi ya nyimbo za jose chameleone©
No comments:
Post a Comment