Blogger Widgets Blogger Widgets

Friday, May 17, 2013

BABA JONII MIXTAPE VOL 1 BY ADAMU MCHOMVU

The presenter a.k.a Host Adam mchomvu wa clouds fm (xxl) kaachia mixtape yenye zaidi ya masongi kumi na nane ambapo alisema ni zawadi kwa mashabiki wake na also for his birthday ambapo jana alitimiza miaka ishirini na nane, mixtape hiyo inaanza kupatikana kuanzia jumatatu katika mawakala wote wa max malipo na big shop zote  around kitaa ,,,...pata nakala yako sasa!!..

No comments: