Blogger Widgets Blogger Widgets

Thursday, May 16, 2013

BIRDMAN NA RICK ROSS KUFANYA ALBUM YA PAMOJA "THE H"

the h

Wawili hawa wameamua kufanya album hiyo ambapo single kutoka kwenye project hiyo zitaanza kusikika tarehe 23 ya mwezi huu , tarehe ya kutoka kwa album yenyewe bado hawajaweka wazi ni lini itakuwa kitaa

No comments: