Blogger Widgets Blogger Widgets

Tuesday, May 21, 2013

HAWA NDIO WATAKAO PERFORM JUMAPILI KWENYE UFUNGUZI WA BIG BROTHER AFRICA

Lile shindano la BBA ambalo limejipatia mashabiki wengi Barani Africa linategemewa kuanza kutimua vumbi kuanzia tarehe 26 may ambapo ni jumapili hii na kuweka bayana watu watakao piga show ya ufunguzi wa shindano hilo na kutoka

KENYA: Stela Mwangi anayetesa na vibao kama  Lookie Lookie, Bembea, Hulla Hoop, Bad as I wanna be ..

                                                            Stela Mwangi

mwingine ni mchekeshaji Daniel Ndambuki alias Mwalimu King’ang’i (Churchill show)

NIGERIA:Don jazzy, D Prince na Wande Coal

SOUTH AFRICA: Afro pop music group  Mafikizolo

katika show hiyo tunategemea kuona washiriki wapatao 28 kutoka nchi mbalimbali wakipita mbele ya umati  wa watu kutoka nchi  zaidi 50 barani Afica The speculations on who will be representing TANZANIA? Nani atakae fata nyayo za Richard kwa kutwaa taji hilo? Michecheto.com tumebakiwa na siku kama nne au tano hivi kujua ni nani atabeba vyema bendera ya Tanzania na mjiandae na vocha kumpigia kura plus bando za kutosha so keep your fingers crossed ...

No comments: