Video hii ilikuwa bado haijatoka na ilikuwa hatua za mwisho kufanyiwa editing na ndipo kifo cha gafla kilipo mkumba marehemu Goldie track hii amemshirikisha Msanii kutoka Uganda Navio nyimbo inaitwa miliki baada ya kuifanyia mautundu ya kutosha producer kutoka Godfather production sasa ameamua kuirelease
No comments:
Post a Comment