Baada ya kutumikia kifungo kwa miaka miwili hatimae rapper ja rule aachiwa huru ikumbukwe kuwa mnamo mwezi wa 6 mwaka 2011 ja rule alikamatwa na polisi kwa kosa la kumiliki siraha kinyume na sheria vile vile kushindwa kulipa kodi aliyokuwa akidaiwa
kwa makosa hayo mawili yalimfanya rapper huyu kwenda jela ya miaka miwili ambapo kila kosa lilikuwa na miezi yake kadha ya kutumikia
sisi tunasema karibu uraiani broza!!!!!
No comments:
Post a Comment