Blogger Widgets Blogger Widgets

Tuesday, May 7, 2013

KWA LUGHA HIZI ZA KALAPINA ACHENI WABANA PUA WAUZE

Siamini kama msanii mkubwa mwenye kuhamasisha watu waache madawa a.k.a mbunge mtarajiwa anaweza kufanya hivi afu akarudi kwenye media na kuomba samahani..Hip hop sio kujifanya mmbabe au unajua ngumi hivi unawezaje kujigamba kabisa mbele ya media eti msanii mwenzio aombe pambano mkazipige sasa kwanini unapanda kwenye steji kushika mic? kama fani yako ni kurusha masumbwi wakina cheka wapo hawana mpinzani..any way nikisema ndio mana hip hop haikui nitakosea? mtabaki kujilaumu kuwa hip hop haipewi support za kutosha ..mtu mwenye akili zake hawezi kuja kuangalia show zenu kwasababu atambulia matusi na mingumi..Mim ni mtazamo wangu wala sina ugomvi na watu wa Hip hop wala Kalapina
kwa ushauri inshu kama hizi sisi hatutakiwi kuziona live pili zinashusha sana hadhi katika jamii tell me ni promoter gani anaweza kukupromote kufanya show for this
HARD-WORK PAYS
 

No comments: