
Hawa jamaa sio kwamba wamepotea kwenye gemu ila jamaa wako chimbo na kupiga vitu ambavyo watu watafurahia. Longomba's family ni kundi ambalo lilijipatia umaaraufu kupitia nyimbo zake kama Futa mpumzi sasa jamaa wamepiga nanga nchini marekani na Lovy ni mmoja katika familia ya longomba ni kaka wa Richie longomba pia ndio wanaounda kundi la longomba's ...Lovy ni Producer pia ni mwimbaji jamaa amefunguka kuwa amesaini mkataba na label ambayo inasimamia kazi za justin bieber kampuni hiyo iitwayo Pulse Publishing
No comments:
Post a Comment