Blogger Widgets Blogger Widgets

Wednesday, May 15, 2013

"AAAWW MEN MAKE ME FAMOUS" LOVENESS LOVE (DIVA)

 

Baada ya hivi karibuni kuibuka kwa tetesi za Diva kudate na Prezzo na prezzo kuzihirisha hilo,.. sasa our series imeingia patamuuuu baada ya loveness (cloud fm host) kuamua kumwaga unga kweupe(kumpiga kibuti) Mh.Zitto Kabwe  katika social network baada ya kutweet maneno hayo hapo juu yakiwa yanaashiria kulikuwa na mahusiano kati yao sasa The Diva kakolea kwa Prezda (Prezzo) hebu jionee mwenyewe jinsi alivyo tweet kuhusu jamaa ake kwa kumpa salute nyingi

No comments: