Blogger Widgets Blogger Widgets

Monday, May 20, 2013

NILIZANI NI NEY WA MITEGO TU KUMBE HATA DBANJI?

Nazungumzia style hii ya kuvaa sneakers tofauti kwenye show,huyu ni dbanj akifanya show ya mtv superstar akiwa na aina tofauti za viatu kwenye miguu

Huyu ni Ney wa Mitego akikonga nyoyo za mashabiki wake katika usiku wa muziki gani @dar live pia akiwa na style ya ile ile ya Dbanji

No comments: