Habari zilizopo ni kwamba paul amemtelekeza hospitali mwanamke mmoja ambaye inasemekana amemzalia mtoto wa kiume katika hospital hiyo iliyopo london, chanzo kinasema mwanamama huyo ameshindwa kuruhusiwa kutokana na kushindwa kulipa gharama alizochajiwa katika hospital hiyo
wiki chache zimepita toka Paul alipopata first born wake Atlanta, sasa tena mtoto mwingine kazaliwa mjini london na young beauty girl known as Elshama Benson Igbanoi akiwa na only 19 years old na alishawahi kuwa Miss Plateau State..baby mama huyo wa singer alisema amekuwa akimwambia paul tangu akiwa mjamzito kuwa mzigo unamhusu lakini jamaa akawa anapiga danadana na kudai angeenda london kwa ajili ya kufanya DNA test..
Binti aliendelea kusema kuwa hakuwahi kulala na mtu yoyote ila ni member huyo wa Psquare kwa kuweka msisitizo alidai Paul ndiye aliyemtoa Bikra akiwa na Umri wa miaka 17
Cha kustajabisha ni kuwa binti huyu ni Rafiki wakaribu na Mwanamke aliyezaa na Paul wiki kadhaa zilizopita, mtoto huyu wa pili wa Psquare amepewa jina la Michelle Paul Okoye
No comments:
Post a Comment