Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, May 26, 2013

PICHA:HUYU NDIYE ALIYE MAKE "HEADLINE" LEO

Ni mshindi wa shindano lililokuwa likiendeshwa na kampuni ya vodacom kwa takribani six month na jana lilifika tamani yake katika ukumbi wa Dar live baada ya kupatikana mshindi amabye ni Martin Fundi na lilipewa jina la THE MIC KING katika hilo shindano la The Vodacom Mic King 2013  Martin Fundi kutoka kimara aliweza kujinyakulia gari jipya aina ya Toyota Funcargo (new model).

No comments: