Blogger Widgets Blogger Widgets

Tuesday, May 14, 2013

RADIO N WEASEL (GOOD LIFE) NOMINEES PEKEE KUTOKA EAST AFRICA TUZO ZA BET

Baada ya Camp mullah kuwania tuzo za BET msimu uliopita,sasa ni zamu ya Uganda baada ya kundi machachari la nchini humo "Good life"linaloundwa na radio&Weasel kutajwa kuwania tuzo hizo kubwa duniani upande wa Best international act.

wasanii hawa wa uganda watapambana na

2Face Idibia (Nigeria)
Toya Delazy (South Africa)
Donald (South Africa)
Ice Prince (Nigeria)
R2Bees (Ghana)   katika nomination hiyo ya Best INternational Act.

No comments: