Blogger Widgets Blogger Widgets

Thursday, May 30, 2013

REST IN PEACE ALBERT MANGWEA:THIS FOR YOU BROTHER


Ni nyimbo tofauti zilizotungwa na baadhi ya wasanii wa BONGO FLAVA ikiwa kama ni moja ya mchango wao na kuonesha ni jinsi gani walivyoguswa na msiba huu mkubwa wa Albert Mangwair






Jinsi ya kuchangia pesa kwa ajili ya kufanikisha mazishi ya Marehemu Albert Mangwea, kwa yeyote uliyeguswa na msiba wa msanii, ndugu yetu Albert Mangwea unaweza kuchangia pesa kufanikisha mazishi kwa kutuma chochote ulichonacho kupitia akaunti hii hapa …
ACC: NMB 2012505840 ambayo ni akaunti ya kaka yake anayeitwa KENNETH MANGWEA … Tigo Pesa 0717 553905M PESA 0754 967738
MWANGA WA MILELE UKUANGAZIE UPUMZIKE KWA AMANI...
 AMINA

No comments: