ooh "mi silagi ugali"usista duu kazi kweli kweli nani kakwambia ukila ugali ndiyo ushamba bakhera mwenyewe anakula ugali kwa mlenda sembuse wewe hahahaha just kidding any way back to our story mwanadada keri hilson hivi karibuni alijiphoto picha akiwa jikoni anasonga ugali jambo ambalo si la kawaida kulifikilia kwa star mkubwa kama keri kuingia jikoni na kusonga ugali ule ule wa nyumbani Tanzania kitu kigumu unatelemshia na mlenda najua mtu wangu ulikuwa unamwazia mtoto atakuwa anakula mibagga plus mitunna sandwich kitu cha nguna hawezi na wala hakijui lakini imekuwa vise versa is true.
No comments:
Post a Comment