Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, May 12, 2013

YALIYOJILI DODOMA KWENYE "ANTI PIRACY "

"Nani kamwaga pombe yangu?" watu wakanyoosha vidole Madee akashindwa kumpata mwizi wa pombe yake ...

"Utarudishwa mbeyaaaa" hapa Izzo Business akiwajibika kwenye jukwaa

"Jamaani Nauli sijapata na mjomba bado sijakutana naye" Mrisho Mpoto akiwaambia wakazi wa Dodoma waliokusanyika kushuhudia kampeni ya kupinga uharamia wa kazi za wasanii

Hivi ndivyo watu walivyoitikia kampeni ya kupinga uharamia wa kazi za wasanii

"follow follow me, oooh baby follow me " Rich Mavoko akiwajibika katika open stage dodoma stadium (Jamhuri dodoma)

"Una weza kuwa lady jay dee, unaweza kuwa mimi,.. JIKUBALI"  Ben Pol

No comments: