Blogger Widgets Blogger Widgets

Friday, June 7, 2013

13 YEARS IN MUSIC YA LADY JAY DEE: KUFANYIKA TAREHE 14TH JUNE


Baada ya kuairishwa kwa show hii ambayo ingefanyika tarehe 31 ya mwezi uliopita kutokana na kutokea kwa Msiba wa gafla wa mwanamuziki/Rapper Albert Mangwea ...sasa mama Anaconda a.k.a C.E.O Machozi Band ukipenda Lady Jay dee sasa kuuwasha moto june 14 pale pale Nyumbani Lounge

No comments: