Blogger Widgets Blogger Widgets

Tuesday, June 25, 2013

ALBUM YA KANYE WEST "YEEZUS" INAONGOZA KWA KUUZA KOPI NYINGI KURINGANISHA NA ALBUM NYINGINE


Kanye West aliyetoa album yake ya "Yeezus" june 18 ambapo pia tarehe hiyo hiyo wanamuziki wengine kama J.cole pamoja na Kelly Rowland nao wametoa album zao mpaka sasa inasemekana  kanye West kesha uza kopi zaidi ya laki 3 na bado hata Mwezi haujaisha, kwa maana hiyo Baba North atakuwa na furaha tele kwa kupata mafanikio katika kazi yake pili kwa kupata mtoto Tatu kwa kutangaza kutaka kumwoa Kim...
hii ndiyo list jinsi mauzo yanavyokwenda mpaka sasa:
kanye sales

No comments: