Blogger Widgets Blogger Widgets

Saturday, June 22, 2013

HUYU NDIO MTOTO WA LUCKY DUBE ANAYETEGEMEA KUDONDOSHA SHOW KAMPALA(UG)

Nkulee Dube, daughter to the late Lucky Dube
Anajulikana kama Nkulee Dube ni mtoto wa hayati Lucky dube..Nkulee Dube mwenye takribani miaka 27 anategemea kutua nchini Uganda na kufanya show za nguvu kama tatu hivi akisindikizwa na band aliyoiacha marehemu baba yake(lucky dube) na show hiyo itakuwa kwa ajili ya kumuenzi marehemu Lucy dube ambayo imepewa jina la "Lucky Dube Celebration tour”
Show hizo ambazo zitaanza tarehe 28th June at Silver Springs , baadae itafanyika 30th at Kyandondo na surprisingly na kumalizikia siku ya tarehe 1 july at Agip Motel

No comments: