Blogger Widgets Blogger Widgets

Thursday, June 6, 2013

KTMA 2013 KURUKA LIVE ONLINE NA KWENYE SOCIAL NETWORKs

Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 kuonyeshwa live mtandaoni siku ya Jumamosi, Juni 8 ambapo ndio kilele cha utoaji wa tunzo hizo

Tofauti na miaka mingine ambayo tukio la utoaji tuzo tu ndio lilikuwa likionyeshwa kupitia kwenye TV pekee, na kuwanyima fursa Watanzania waishio nje ya nchi kufuatilia moja kwa moja, mwaka huu watumiaji wa mtandao wa Internet wataweza kuangalia toka mwanzo tukio la Red Carpet litakaloanza saa moja jioni wakati wanamuziki na watu wengine mashuhuri wakiwasili ukumbini.

http://new.livestream.com/KTMA2013/live, www.instagram.com/kili_lager, www.twitter.com/kili_lager, hizi ni baadhi ya link ambazo unaweza kufatilia tukio hilo la Kilimanjaro music award moja kwa moja.

No comments: