Blogger Widgets Blogger Widgets

Monday, June 3, 2013

NEWS: D'BANJ KWENYE COLLABO NA SNOOP PAMOJA NA BIG SEAN


The Mr. "Oliver twist" anategemea kuangusha mzigo mwingine hewani akiwa na wakali kutoka Marekani hapa nawazungumzia snoop lion na big sean inaonekana D'banj amependa sana flow za Snoop mana hii itakuwa ni collabo ya pili atapiga na Mzee mzima Snoop Ya kwanza ni ile aliyompa shavu kwenye track ya Mr.ENDOWED ambayo ilibamba sana.
Track hii mpya haijafahamika bado kuwa lini itakuwa Mtaani rasmi na imepewa jina la " Blame It on the Money"

Endelea kutembelea hapa kupata mengi mapya kuhusu Entertainment news,,,We HATE UDAKU.!!!

No comments: