Blogger Widgets Blogger Widgets

Friday, June 7, 2013

NISHER ATANGAZA DILI KWA DOGO HUYU BAADA YA KUTIZAMA VIDEO YAKE


Producer Nisher kutoka A town ambaye pia amefanya vichupa vingi kama vile mama yeyoo, dole, press play na zingine nyingi ameshindwa kuzuia hisia zake a.k.a kuvutika kwake baada ya kutizama video ya dogo Godfrey levis kwenye  Youtube na kuona uimbaji wa dogo kuwa ni balaa na hivyo isiwe tabu na akaamua kuanika ukweli wa mambo hadharani kuwa yupo tayari kumpa lebo dogo huyo mana touch zake amezielewa
"I want to inteview this kid and possibly sign him to my Label Nisher Records.... He has Nice Fearures!"alicomment Nisher kwenye video hiyo  kuonyesha amekubali kazi ya dogo Gdfrey levis

video nyenyewe hii hapa watch:

No comments: