Blogger Widgets Blogger Widgets

Wednesday, June 12, 2013

ORIGINO KOMEDI WASAINI MKATABA NA NEXUS KWA AJILI YA KUSIMAMIA KAZI ZAO


"OK" kama wanavyopenda kujiita wameingia mkataba na Nexus consulting Agency wakishirikiana na Rockstar4000 ...mkataba huo utalifanya kundi la la origino komedi kuwa kundi la kwanza kwa sanaa ya Uingizaji kupata dili nono kama hili..

Nexus Consulting Agency imenunua haki zote za usimamizi wa kazi zitakazo kuwa zinatolewa na kundi hilo pamoja na kuliongoza kundi hilo ingiwa ni pamoja na usimamizi wa matangazo na urushwaji wa vipindi vyao..

HONGERA "OK"(Origino Komedi)..!!

No comments: