Blogger Widgets Blogger Widgets

Saturday, June 1, 2013

PICHA:J MARTINS APATA JIKO


Mwanamuziki kutoka Nigeria anatamba na nyimbo kama jupa, iva na oyoyo J martins hatimae amepata mwenzi wa milele baada ya kuangusha bonge la harusi huko nchini Nigeria na kufatiwa na ceremony bab kubwa ndani ya jiji la Lagos

No comments: