
Kabla ya show hii kuahirishwa kutokana na sababu za kutokea kwa Msiba wa mwanamuziki ALBERT MANGWEA show hii ilitakiwa kufanyika tarehe 31 may lakini ya mungu mengi hivyo kumfanya Rapper Mwana Fa kuairishashow hiyo ili aweze kumsindikiza msanii mwenzie kwenye nyumba ya milele
Sasa show hiyo inategemea kufanyika tarehe 14 mwezi huu na mahali ni pale pale NATIONAL MUSEUM opposite chuo cha IFM ambapo dressin code ikiwa ni ile ile ya suit & tie ....keep good music alive
No comments:
Post a Comment