Blogger Widgets Blogger Widgets

Monday, July 15, 2013

EXCLUSIVE SONG:NAJO MKALI - HESHIMU KAZI

najomsanii
Iringa stand up....>>>>>>holla holla kwa wana waEast Zoo yeah ni Najo Mkali Nawakilisha pande za Iringa Town,  Dodoma  ma home town Aisee feel free kusikiliza na kudownload this track kusupport kazi yangu pia waweza kuwasiliana na mimi kupitia facebook afu tukapeana maujanja ya maninja wa town nina track kibao nimefanya na watu mbalimbali mfano peruzi vizuri  kwenye blog hii kuna kichupa nilifanya na Dullayo, aah maneno mengi hayajengi hebu kula burudani kisha utanijuza wapi nilipo:



No comments: