Nando anategemea kufanya party nchini Tanzania ambayo itakuwa party ya aina yake kwani itafanyika kwa siku 10 huku akisindikizwa na baaadhi ya washikaji zake ambao pia ni washiriki wenzie BBA the chase.
Post a Comment
No comments:
Post a Comment