Blogger Widgets Blogger Widgets

Monday, October 21, 2013

WIZKID AVIIMBIA VITI TUPU UKUMBINI


Jamaa kutoka pande za Naija Wizkid alijikuta akipiga show huku ukumbi ukiwa na idadi kubwa ya viti vilivyo vitupu namaanisha bila watu.


Hapo kwenye hilo cover hapo juu ni bei za viingilio. lakini jamaaa alionekana kujifariji baada ya show kwa kupost kwenye twitter kwamba Haogopi hicho kutokea hivyo

No comments: