Blogger Widgets Blogger Widgets

Thursday, January 9, 2014

UKISIKIA IMANI BASI HII NDIYO IMANI:PASTOR ATEMBEA JUU YA MIGONGO YA WAUMINI NA KUWAAMURU WATAFUNE MAJANI

Pastor huyo ajulikanaye kwa jina la Pastor Lesego Daniel ambaye ndio pastor kiongozi wa kanisa lake liitwalo Rabboni Center Ministries kanisa hili linapatikana katika mji wa Peutoria (South Africa).

Pastor huyo amekuwa akiwa piga ibada ya ajabu waumini wake kwa kuwalalisha chini kisha kutembea katika migongo yao,na kama huamini nguvu zitokazo kwa sir. God basi utachezea vibao mpaka ukili kuna roho wa mungu mahali hapo

Pastor Lesego Daniel amekuwa akiwahubiria kuwa kwa yeyote aaminiye nguvu ya roho basi yupo radhi kula kitu chochote hivyo akawataka waumini wake wawe kondoo kama sio mbuzi kwa muda na kuanza kuzishambulia nyasi zilizopo nje ya kanisa hilo(kama unavyoona picha hapo juu) lakini Pastor huyo
amefukuzwa pia amekamatwa na maafisa wa kutetea haki za binadamu


COMMENT:
"FIKIRIA MUNGU ANGEKUWA BINADAMU MWENZETU,UNAZANI INGEKUWAJE?"

No comments: