Blogger Widgets Blogger Widgets

Monday, March 17, 2014

HUENDA KANYE WEST AKATUMIKIA JELA KWA MIEZI 24


Mwaka jana mwezi kama wa saba hivi videographer Daniel Ramos alimshitaki Kanye west kwa kumfanyia fujo kama unavyoona kwenye picha
The fight: The Stronger singer was accused of assaulting a videographer in July 2013
Ambapo jana Kanye West 36 alitakiwa kwenda kujibu mashitaka yake pamoja na kukubaliana na kifungo
cha kwenda jela miezi 24,kufanya kazi za kijamii kwa masaa yasiyopungua 250 pia kwenda kwenye vipindi visivyopungua 24 vya Anger management therapy, inasemekana mara ya kwanza Baba North alikubaliana na vifungo hivyo ili kufuta record hiyo katika maisha yake lakini alipohitajika mahakamani hakuonekana,Mfungua mashitaka alikuwa mahakamani akizidi kugongelea misumari kuwa kwa kipigo alichopata kwa kanye west kimemsababishia kuumwa "Trauma"
No West: The rapper did not show up in the LA courtroom that was overseen by commissioner Alan Rubin
                                mahakani ambapo Kanye hakutokea
Kutokana na Kanye west kutokuonekana mahakamani hapo ndipo msemaji wa mahakama hiyo alipoanza kusema kuwa "Lazima kanye aingie jela kwa sababu ushaidi wote tunao na ni kweli alimpiga mwandishi pia alikubali mara ya kwanza kuwa katenda kosa hilo sasa kwanini ameshindwa kuja kwenye kesi yake,akae akijua yeye(Kanye) hayupo juu ya sheria na huu si utani kama azanivyo" Ikumbukwe kuwa mwenzie Chris Brown keshaanza kutumikia kifungo chake cha takribani mwaka mmoja

No comments: