Baada ya Tetesi kuwa amefukuzwa katika label ya #BHitz music kuvuma,M-rapLion ameibuka na bonge la photo cover na kusema yupo Jikoni akipika kitu kipya ambacho amemshirikisha Jux-voitton na track hiyo imefanyika kwa producer nguli Bob Manecky..
Post a Comment
No comments:
Post a Comment