Blogger Widgets Blogger Widgets

Thursday, March 6, 2014

UHT:THE OSCAR WINNER LUPITA NYONG'O & K'NAAAN ARE DATING?

Trusting: Lupita trusted Keinan Abdi Warsame to hold her precious Oscar award as she left the Live! TV studios

Rumours mara ya kwanza zilikuwa zinasema kwamba Academy Award winning actress Lupita Nyong'o could be dating  Oscar winner Jared Leto.
Lakini imekuwa tofauti mara baada ya mapaparazi kuwapaparazi pictures that suggest the 31-year-old actress could be dating a Somali- Canadian rapper K'naan ni yule jamaa aliyeimbwa wimbo wa "Wavin' Flag"

Hand in hand: Lupita brought Keinan along for support for her post Oscar press rounds
Lupita alipigwa picha na mapaparazi akiwa amejizungusha kwenye mikono ya Rapper K'Naan akionyesha yupo salama,Picha hizo zilipigwa wakati Lupita katoka kwenye interview TV studios in LA ambapo jamaa alikuwa nje akimsubiria baaada ya kutoka Lupita alionekana akimkabidhi Tuzo yake K'naan amshikie kitu kinachoibua maswali kuwa huenda wawili hao wapo kwenye Love Bird.ikumbukwe kuwa kwenye Tuzo za Oscar LUpita alisema kuwa kwa nusu ya usiku ule atakuwa mbinafsi na hatoruhusu mtu aguse tuzo hiyo wala kupiga nayo picha

'Well for the first half of the night I was being very, very selfish,' she said. 'I wouldn’t let anyone even take a picture with it. No. No one was holding it. And then…it’s really heavy.'.Although Lupita seemed only too happy to place her trust in rapper K'Naan, as he was pictured holding the prestigous award for her as they made their way to a waiting car.

No comments: