Blogger Widgets Blogger Widgets

Friday, October 24, 2014

NEWHIT:MWANA FA FEAT.ALI KIBA - KIBOKO YANGU

Mwana FA na Alikiba

Baada ya Mwana FA kutoa wimbo wa Mfalme,msanii huyu ameungana na mfalme wa bongo flava yaani Alikiba ili kuwaletea mashabiki wake kazi nyingine kali.Producer wa wimbo huu si mwingine bali ni Marco Chali wa kutoka MJ Records.

Mwana FA na Alikiba wameamua kuuachia wimbo huu moja kwa moja kupitia www.mkito.com ili kuhakikisha unawafikia mashabiki wengi zaidi na kuhakikisha kuwa pia kuna maslahi yanapatikana katika kazi hii. Download  hapa https://mkito.com/artist-profile/mwana-fa/937

No comments: