

Ilikuwa ni sheeeddddaaa

Mkali wa steji,ambae amekuwa akifanya vyema kwenye matamasha mbalimbali,muite Kabyser ama Mr Blue akiimba jukwaani mbele ya umati wa watu waliofika kwenye tamasha la Fiesta 2014



Msanii kutoka nchini Marekani Clifford Haris a.k.a T.I akilishambulia jukwaa


Ommy Dimpoz na Victoria Kimani

Davido na Diamond wakilishambulia jukwaa

Dangote,mara Chibu afu jazia na diamond Platnum akiwa kazini

Anaitwa Ally kiba ama muite K4real a.k.a Mwana Dar es salaam ambaye inaelezwa kutoka kwa mashabiki kuwa alifanyo show nzuri na kufanya ushindani wake na Platinumz uongezeke mara dufu.(Usiniulize mshindi alikuwa nani?we mwenyewe unajua>>>>..)

Msanii Linah (nyeupe) akiwa na skwadi lak

Abdulkiba

Stamina na Ney wa Mitego wakikamua jukwaani

Mkali wa hip hop nchini Mwana-FA akiwaimbisha mashabiki wake
No comments:
Post a Comment