Blogger Widgets Blogger Widgets

Wednesday, November 19, 2014

VIDEO NEWS:HII NDIO REALITY SHOW AMBAYO UTAMWONA SALAMA JABIR AKIZUNGUMZIA MAPENZI

tujuane_channel_161.jpg
Kwa wengi anafahamika kama  Salama Jabir a.k.a Andunje najua upcoming Artist huwa wanamwona kama mwiba (kizuizi) hapa nazungumzia BSS ambapo salama huwa kama Judge katika shindano hilo,Najua utakuwa na swali hili ushawahi kuona au kusikia salama akizungumzia mapenzi hata tu kwenye social network? sasa basi ka tayari kumwona Best Host in Tanzania Salama Jabir kwenye Runinga yako akifunguka na kushare na wewe kuhusu mapenzi,show hiyo inayotegemea kuanza kuruka kuanzia Tarehe 9 mwezi ujao inajulikana kama "Tujuaneplus" itakuwa inaruka katika kituo cha Maisha Magic channel 161

No comments: