Blogger Widgets Blogger Widgets

Monday, November 17, 2014

VIDEO NEWS:MABESTE IT MEANS HUMWAMINI MAMA KENDRICK OR?

Hili swali linakuja baada ya mabeste kuachia video mbili za wimbo huo huo mmoja hapa nazungumzia "NISHAURI" kama unakumbukumbu November 3 mwaka huu aliachia video hiyo ambayo aliiongelea hadi kwenye media kuwa Director wa Nyimbo hiyo ni Mama Kendrick a.k.a Bibi Harusi mtarajiwa (Lisa Karl Fickenscher ) huku ikisemekana hivi karibuni wataenda kubaliki Ndoa yao kanisani.
Video yenyewe nayoiongelea ni hii hapa:

Sasa kigugumizi kinakuja kuwa video nyingine tena ya mabeste huyo huyo featuring Peter Msechu na nyimbo hiyo hiyo "Nishauri" lakini safari hii imefanywa na madirector wawili hapa namzungumzia Frank Temba&Julius Roman wa M.a.c 04 videoz huku Editor akiwa Nicklass from iMAGE NATION Video yenyewe hii hapa chini


Je kwa mtazamamo wako nani anafaa kupewa credit?ingawa hii video ya pili sio officiall but ukiwa kama mdau unaona yupi aliyeitendea haki hii nyimbo je, ni mama Kendrick au M.a.c.04?

No comments: